Kifoodo

Kifoodo ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Benin inayozungumzwa na Wafoodo. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kifoodo nchini Benin imehesabiwa kuwa watu 24,500. Pia kuna wasemaji 1000 nchini Ghana. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kifoodo iko katika kundi la Kikwa.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search